Monday, May 5, 2008
MAMBO YA TABATA DAMPO YAIVA !!
hapo niule wakati wa kuhakikiwa ili wajulikane wamiliki wa nyumba na vinjwa ili waweze kulipwa chao ili wakamate maeneo mengine ndio mambo yao soon watakamata na pia serikali imewahakikishia kuwa kila mmoja atakamata 20m haya jamani kila la kheri na pia mzitumie kwa manufaa maana halitotokea zali kama hilo mlilo lipata ila najua kuna ambao watafanya kweli na pia kuna wale watao kula mibuyu nk ila jamani kila kitu kina maana msije mkajuta baadae na matumizi mabaya katika hizo pesa na kwa walea ambao watakuwa ndio mara yao ya kwanza kama mimi wakae chini na pia wasiziguse waangalie kwa muda na kwa uangalifu mkubwa iliwasifanbye makosa .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment