
Ningeketi sebuleni kuangalia dunia inaendeleaje na wanoko walioko huko wanaotamani hela za watu wasizipate!

Farasi wangu ningemwekea meno ya almasi ili apendeze na kung'aa nikimwendesha.

Muhudumu kama huyu angekuwa tayari ndani ya nyumba kwajili ya kunihudumia, labda kuniogesha!

Glass yangu ingekuwa ya almasi yote ninywee kinywaji ninachotaka!

Nyumbani kungekuwa na ulinzi wa saa 24!

Chooni maji yangekuwa yanayotoka milima ya Imalaya tu kama ningekuwa bongo ningetumia Cool Blue!

Hii ingekuwa toilet paper!

Na bwawa la kuogelea lingekuwa la pafyumu tu tena za bei mbaya!

Kama ningekuwa fisadi ningenunua mwezi nikaishi huko ili wapigakur awasiniletee noma.

Gari yangu ingekuwa gold plated na inaoshwa na wataalamu tu sio kupeleka magomeni!

Sasa ukifika kwenye laptop ungekimbia inakuwa ya gold na kuzungushiwa diamond ili hata watoto wakiiona wakimbie!

Na kwa safari ndogo ndogo ningekluwa natumia kagari kama haka!

Na baada ya kazi haya yangekuwa makazi ya muda wa likizo ng'ambo mnaita summer nini sijui?, Life goes on!

Ningekuwa nacheza Golf kwenye meli yangu ili nisibuguziwe na mtu!
Shukrani zangu za dhati zimwendee Mr Sumo!!!
No comments:
Post a Comment