Thursday, July 10, 2008

Watoto wetu kutoka Mtwara ndani
ya Finland...


Time yetu ya tanzania ya watoto kutoka mtwara leo ndio ilikua mwisho wa safari yao baada ya kuingia kwenye hatua ya mtoano,walicheza kandanda safi na matokea hadi kipinga cha mwisho ni 1 - 1 na lazima atoke mtu ndio ilipoamuliwa kupigiana penat wao walipata penat 3 na sisi tukapata 1 na ukumbuke kuwa kwenye mashindano hayo penat ni 3 kwa 3 sio 5 kwa 5 wafin walianza kupiga wakapata,kufatia sie wa bongo tukakosa,wakapiga tena wakafunga na sie tukapiga tukafunga ya mwisho wafin wakapata kwa hiyo ikawa hakuna haja ya kupiga penat ya mwisho.
Picha ndio watoto wa kutoka mtwara tanzania wakiwa wanaangalia penat zikipigwa na hao wengine ni wafin wakiangalia penat zikipigwa na hicho ndio kikosi kamili cha kutoka mtwara tanzania pamoja na kocha wao.

No comments: