*Wabunge wajiandaa kumkimbia Kikwete.
BAADHI ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) sasa wanaelezwa kuanza kukichoka chama chao kinachoongozwa na Mwenyekiti wao, Rais Jakaya Kikwete, kutokana na chama hicho kuendelea kuimarisha mtandao wa kifisadi, Raia Mwema limefahamishwa.
Baadhi ya wabunge waliozungumza na Raia Mwema kwa siku kadhaa sasa wameelezea hali hiyo na wengine sasa wanataka kuwapo kwa wagombea binafsi katika uchaguzi mkuu ujao wa 2010 ili “hali ikiwa mbaya zaidi”wanaowataka wajiondoe na kugombea kama wagombea binafsi.kwa mengi zaidi juu ya Makala hii na nyingine nyingi ikiwemo Rai ya Jenerali Ulimwengu Bofya na Endelea Hapa..>>>>
BAADHI ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) sasa wanaelezwa kuanza kukichoka chama chao kinachoongozwa na Mwenyekiti wao, Rais Jakaya Kikwete, kutokana na chama hicho kuendelea kuimarisha mtandao wa kifisadi, Raia Mwema limefahamishwa.Baadhi ya wabunge waliozungumza na Raia Mwema kwa siku kadhaa sasa wameelezea hali hiyo na wengine sasa wanataka kuwapo kwa wagombea binafsi katika uchaguzi mkuu ujao wa 2010 ili “hali ikiwa mbaya zaidi”wanaowataka wajiondoe na kugombea kama wagombea binafsi.kwa mengi zaidi juu ya Makala hii na nyingine nyingi ikiwemo Rai ya Jenerali Ulimwengu Bofya na Endelea Hapa..>>>>
No comments:
Post a Comment