Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Friday, July 4, 2008
Vitu vya Miss Higher
Learning 2008...
Baadhi ya Warembo watakaoshiriki katika mashindano ya Miss Higher Learning Insitutions 2008 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.Jumla ya warembo 11 kutoka vyuo mbalimbali watashinda leo katika ukumbi wa New World Cinema.Picha na Edwin Mjwahuzi
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment