Tuesday, July 15, 2008

Visura wa Miss Tanzania 2008
Watua Mwanza...
Warembo 28 wa Miss Tanzania Vodacom wakiwa katika picha ya pamoja uwanja wa ndege Mwanza baada ya kuingia Jijini Mwanza na ndege ya shirika la Ndege la Tanzania (ATCL).
Warembo hao watashiriki tamasha la michezo katika ukumbi wa Benki ya Tanzania (BoT) baadaye watatembelea watoto yatima na kisha leo watakwenda Mara ambako watazuru kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.Walipowasili walipokewa na mamia ya wakazi wa Mwanza wakiongozwa na Dk Msekela.

No comments: