Tuesday, July 15, 2008

Mch. Mtikila Kaniomba Mil 3
Nimempa-Rostam Aziz

Mh. Rosta Aziz(MB) leo amefanya kile kinachoweza kutafsiriwa na waswahili kama kumwaga mboga baada ya wenzie kumwaga ugali akizungumza kwenye hoteli ya Hotel Kempiski jijini Dar es Salaam amesema Pesa alizonazo ni za halali zitokanazo na jasho lake kutokana na biashara ambazo zimekuwa zikiendeshwa na familia yake huko Tabora tangu mwaka 1852 bofya na Endelea Hapa..>>>>>>

No comments: