Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Friday, July 4, 2008
Uwanja wa Ndege Zanzibar
Unatia Aibu...
Mwonekano wa uwanja wa ndege wa Zanzibar kwa upande mmoja ndivyo unavyoonekana hebu cheki,uwanja huu ni uwanja wa kimataifa,madege toka Ulaya yanatua moja kwa moja cha msingi ni kuboresha.Picha kwa msaada wa Yahya Charahani
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment