Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Friday, July 4, 2008
haya haya mkaoshewe magari yenu na Warembo jamani Kesho Hiyo
hao ndio warembo watakao osha magari yatakayo jitokeza kesho na pia ni Warembo watakaoshiriki tamasha la kuosha magari ili kuchangia mfuko wa‘Sickle Cell Tanzania’kutoka kushoto ni Olivia Mkanzabi,Nargis Mohamed,Jennifer John,Jokate Mwegelo na Jacqueline Ntuyabaliwe,wakitoka katika ofisi za Makao Makuu ya tigo tanzania ambao ni wadhamini wa tamasha hilo,linaliotarajiwa kufanyika kwenye viwanja vya Leaders club mwishoni mwa wiki hii.Habari na Picha kwa msaada wa Mrocky
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment