Tuesday, July 22, 2008

TUNAMKUMBUKA NYERERE.....
------------
JANA TUMESHUHUDIA KUKAMATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA RODOVAN KARADZIC MTU AMBAYE ALIHUSIKA NA MAUAJI YA SERBIA NA BOSINIA, UJUMBE HUU NI KWA AMIRI BASHAR WA SUDAN KWAMBA UTAKIMBIA LAKINI SIKU ITAFIKA TU , TWENDE MBELE TURUDI NYUMA WACHINA WANATUSAIDIA, LAKINI VIBURI WANAVYOLETA SUDANI NA ZIMBABWE HAVIONYESHI PICHA NZURI YA AFRICA.
GOD BLESS TANZANIA
NA TUTAMKUMBUKA NYERERE
OWINO WA OWINO

No comments: