Tuesday, July 15, 2008

Simba Mla Watu....
Mkuu wa Mkoa wa Singida Bw Paseko Kone(Wa Tatu Kushoto)akimshangaa Simba mlawatu waliyeuawa Singida juzi,Habari zaidi zinasema simba huyu kala watu zaidi ya 14 na ng'ombe kadhaa!

No comments: