Friday, July 4, 2008

pinda akiongea na mawaziri
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Viti Maalum na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Sophia Simba, bungeni mjini Dodoma Jana
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongea na Waziri wa Miundombinu na mbunge wa Bagamoyo, Dk. Shukuru Kwambwa, bungeni mjini Dodoma Jana

No comments: