Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Saturday, July 5, 2008
Mtuhumiwa >>>>
Mtuhumiwa katika kesi ya wizi kwenye Benki ya NBC Ubungo jijini Dar es Salaam,Rahma Galosi,akiwa mahakamani jana,ambapo yeye pamoja na wenzake kumi walisomewa mashitaka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Picha na Yusuf Badi
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment