Tuesday, July 15, 2008

Kijiji Cha Matumaini..
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Viongozi wa Kijiji cha Matumaini cha Dodoma kinacholea watoto yatima wakati alipotembelea kijiji hicho hivi karibuni.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: