Monday, July 21, 2008

Ezra yanyakua tuzo ya dhahabu
ya ZIFF,Watanzania
nje..
Tuzo ya dhahabu Filamu ya Ezra iliyotengenezwa na Mnaijeria Newton I Aduaka
Tuzo ya fedha
Ni Dokumentari India Untouched iliyotengenezwa na Satalin Kwa India
Filamu fupi na Animation
Imeenda kwa Subira iliyotengenezwa na Ravneet Chadha wa Kenya Na
Best African Film
Imeenda kwa African Lens iliyotengenezwa na Shravan Vidyarthi wa Kenya pia
Special juror's Choice
Imekwenda kwa Laya Project iliyotengenezwa na harold Monfils ya India kwa
kuwa na taswira inayokidhi matakwa ya nchi za jahazi
ZIFF 2008 Jury Special Mentions-
-Awaiting For Men ya Katy Ndiaye wa senegal.
-We are Watching You ya Sherief Elkatsha na Leila Menjou wa Misri
-The Iron Bone ya Hisham Lasri wa Morocco Hakuna filamu iliyotengenezwa na watanzania iliyofurukuta picha hii ya Abdallah Pandu inamuonyesha mwalimu wa Aduaka akitoa spichi ya kukubali tuzo ya dhahabu ya ZIFF kwa filamu ya EZRA aliyekabidhi tuzo ni Juri Rachel Dwyer

No comments: