balozi wa marekani afungua warsha ya globu zenji
balozi wa marekani nchini mh. mark green (shoto) akiongea na maafisa wa new media brain trust kabla ya kuzindua warsha ya new media & africa: making it work in the 21st century katika ukumbi a jumba la sultani hapa zenji. katika spichi yake balozi green ameipa shavu teknolijia ya habari ya kisasa, ikiwemo globu hii ya jamii, na kutoa changamoto kwa wadau kwamba wasiulaze maana wakati ni ukuta
No comments:
Post a Comment