jk ziarani tanga
Mama Salma Kikwete akisalimia wananchi wa Kata ya Negero,Wilaya ya Kilindi mkoa wa Tanga muda mfupi kabla ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwahutubia wananchi hao na kufungua miradi ya maendeleo katika Wilaya hiyo mpya ya Kilindi.Mama Kikwete amefuatana na Rais Kikwete ambaye yuko katika ziara ya kikazi ya wiki moja Mkoani Tanga.
jk akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Msente,wilaya ya Kilindi wakati alipokuwa katika ziara ya kutembelea wilaya hiyo mpya na kuzindua miradi ya maendeleo leo
akizindua mradi wa umwagiliaji wa Bonde la Msisi katika wilaya ya Kilindi leo asubuhi.Rais Kikwete baadaye alienda wilaya ya Handeni
No comments:
Post a Comment