Thursday, December 17, 2009

Zantel Waja na Ofa Mpya ya Mzuka


Mkuu wa Mauzo wa Zantel Bw.John Mbaga(kulia)akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya kampuni hiyo wakati wa uzinduzi wa ofa mpya ya“MZUKA” ambayo itamuwezesha mteja wa Zantel kuongea kwa masaa 12 kwa Tsh 200 tu kuanzia saa nne na nusu usiku hadi saa nne na nusu asubuhi.Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni hiyo Bw. Fintan Lawler.

No comments: