Thursday, December 3, 2009

kiplefti mjini sumbawanga

MKAZI wa mjini Sumbawanga , mkoani Rukwa akiwaonyesha watoto wake kwa mshangao mkubwa , shimo kubwa kando ya barabara ya Kiwelu ni mojawapo ya barabara zilizofanyiwa ukarabati mkubwa na kuwekewa lami hivi karibuni , pamoja na kwamba shimo hilo ni uharibifu ulosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbali mbali mkoani hapa , lakini bado wakaazi wengi wa mjini i hapa wanadai barabara hizo zote zenye zaidi ya urefu wa kilomita zimejengwa chini sana ya kiwango. Picha na mdau Peti Siyame.

No comments: