Monday, December 14, 2009

gari la umma kazini

Brother ,
Angalia magari ya serikali yaliyonunuliwa kwa bei mbaya yakiwa bize yanakusanya nyasi za ngombe kwa ajili ya bosi
Niambie tutasongaje mbele namna hii??
-Mdau Kinondoni

No comments: