Saturday, December 19, 2009

Lukuvi azindua tawi la exim bank ubungo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. William Lukuvi akikata utepe kuzindua tawi la Benki ya Exim tawi la Ubungo Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Benki hiyo, Yogesh Manek na Mkurugenzi Mtendaji, Sabetha Mwambenja. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

No comments: