Thursday, December 17, 2009

Umeme Huooo Pemba..
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akiushika waya wa Umeme unaotokea Tanga uliopita chini ya bahari na kupandishwa ,katika ufukwe wa Mkumbuu kisiwani Pemba,kazi hiyo inafanya kwa kutumia Meli maalum ya kampuni ya Nexans Skagerrak ya Norway.

No comments: