Friday, December 18, 2009

IMERIPOTIWA AJALI MBAYA : Imeua Zaidi Ya Watu 18
Imetokea karibu na Same jana. Imehusisha Basi la Mohammed Trans na Basi dogo. Zaidi ya watu 34 wamejeruhiwa vibaya. Karibu magazeti yote ya leo yameripoti juu ya ajali hiyo. Kwa habari zaidi, fuatilia kwenye links za baadhi ya magazeti ya mtandaoni.

No comments: