Friday, December 18, 2009

Kitabu Cha Maombolezo


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha Maombolezo Nyumbani kwa Marehemu Gama Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, Marehemu Gama aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa na Katibu Mkuu wa CCM.

No comments: