Tuesday, December 8, 2009

utandaziji waya za umeme kwenda pemba waanza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Amani abeid Karume akiangalia waya maalum wa kusambazia Umeme utaopita chini ya bahari kutoka Tanga hadi Pemba, kazi inayofanywa na meli ya Nexans Skagerrak kutoka Norway pichani chini.



No comments: