nondozzz chuo kikuu cha mzumbe university
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Profesa Jumanne Maghembe ( kushoto) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais , Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia ( kati kati) pamoja na Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe wa Utawala na Fedha Profesa Faustine Kamuzora ( kulia) juzi , wakati wa mahafali ya nane ya Chuo Kikuu hicho
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe , Jaji Mkuu Mstaafu , Barnabas Samatta ( kati kati) akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Profesa Jumanne Maghembe ( kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Profesa Daniel Mkude ( kushoto) wakitoka kwenye viwanja vya mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika siku za karibuni.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo , Joel Bendera ( kulia) akiwa kijana wake, Gloria Bendera ambaye amehitimu shahada ya uhasibu na fedha ya Chuo Kikuu Mzumbe, kushoto ni Makamu wa Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Joseph Kuzilwa

No comments:
Post a Comment