Thursday, December 3, 2009

jamani tembea uone !!!
Jana katika pita pita zangu za hapa na pale nilikuwa na rafiki yangu. Alikuwa na gari yake akaniparide kama watoto wamjini wasemavyo jamani safari kweli ilikuwa nzuri kwa maana yale yote tuliyoyafata town tulifanikiwa kama tulivyopanga ila ilijitokeza dosari jamani kweli bongo mambo kweli yanafanywa kweli kiswahili kwanini nadiriki kusema hivi ni kwa kitendo cha jana kukamatwa kwa kitendo cha kusimama kidogo mahali na hii sio kwamba dereva alishuka ila ni kwa mimi kushuka na kutoka kidogo nakumuacha jamaa kwa gari maana yeye ndie alie kuwa kiendesha kidogo akakamatwa kosa la kupark sehemu ya maegesho ya Taxi
maswali nayo jiuliza kwa sasa ni kama ifuatavyo ::

1) mbona hakukuwa na tangazo !!
2)
Kupaki gari nikuwa na mtu ndani au kuliacha gari inakuwaje hii !!
3) Faini kwa nini iwe kubwa kiasi cha laki moja !!
4) Sehemu hiyo kulikuwa hakuna Taxi tatizo liko wapi na wakati hatukuchukua muda na pia dereva alikua kwa gari !!

Jamani tuchangie katika kuwekana sawa katika hili iwe nchi yetu iwe sehemu bora pakuishi .

No comments: