Saturday, December 19, 2009

utajaza mwenyewe....
zengwe la kumng'oa marcio maximo linapikwa na wakati wowote kuanzia sasa kocha huyu wa taifa stars atajikuta kibarua kimeota mbawa. uchunguzi umebaini kwamba hivi sasa shirikisho la soka TFF lipo njia moja kusaka mbadala wake na mkataba wake kusitishwa kabla ya muda wake. TFF wamepata nguvu baada ya JK ambaye analipa mshahara wa kocha huyu kutoka brazil kuruka kimanga na kusisitiza yeye hamlindi wala nini na haingilii mambo ya TFF zaidi ya kusaidia kulipa mshahara wake ambao hadi sasa hakuna anayejua ni shi'ngapi

No comments: