Tuesday, December 8, 2009

libeneke la magari bei poa

Kaka kwa heshima kubwa naomba msaada wako wa kuijulisha jamii ya kitanzania kuhusiana na tovuti yao ya


inayohusiana na kuuza magari,hii ni tovuti isiyo na gharama kwa mtanzania yeyote anayetaka kuuza gari lake kupitia humu,anachotakiwa kufanya ni kujisajili na kuweza kutuma picha na maelezo ya gari lake bila gharama yoyote.

Sisi tumechagua njia hii kuwatumikia watanzania wenzetu kwa maana tunaamini Tanzania itajengwa na wenye moyo. Hivyo basi tunapenda kuwakaribisha jamii nzima ya kitanzania kutembea tovuti hii ambayo inapatika katika lugha ya KIINGEREZA NA KISWAHILI.
Tunatanguliza shukurani kwako Mh
Magaribeipoa team.

1 comment:

Anonymous said...

It's really very complicated in this busy life to listen news on TV, so I just use the web for that purpose, and obtain the hottest information.

Feel free to visit my web site; anti cellulite treatment