Thursday, December 17, 2009

'kocha mtangazaji' atua idhaa ya kiswahili ya VOA
Juma Nkamia akiwa ndani ya studio za VOA jijini Washington DC leo

Juma Nkamia a.k.a 'Kocha Mtangazaji' ambaye ni mtangazaji mwenye uzoefu na mvuto mkubwa katika fani hiyo sasa amejiunga na Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Washington Dc, akitokea TBC Tanzania.

Utamsikia Nkamia kwenye matangazo mbali mbali ya habari hadi michezo kutoka Washington,Dc kwa kupitia radio washirika Afrika Mashariki na kati ikiwa ni pamoja na Radio Free Afrika Mwanza, Citizen Radio Kenya au kwenye mtandao wao wa


No comments: