Tuesday, December 8, 2009

mzinga kimara bucha
gari aina ya Suzuki Vitara likiwa limepinduka ndani ya mtaro mkubwa uliopo pembezoni mwa barabara ya Morogoro Road, katika eneo la Kimara bucha.
gari hii ilijikuta ikiingia mtaroni humo mara baada ya kuchomekewa na daladala kuingia upande wa pili wa barabara bila ya ishara yoyoye na kusababisa dereva wa gari hii aina ya vitara kutaka kujaribu kumkwepa na kujikuta katika hali hii.
daladala lenyewe ni hilo hapo ambalo liko chini ya usimamizi wa Askari Polisi ambao kwa bahati nzuri walikuwepo jirani kabisa na eneo lilipotokea tukio hilo.

No comments: