Wafanyabiashara Kutoka Kilimanjaro
Wamaliza Ziara
Japan..

Wafanyabiashara kutoka Mkoa wa Kilimanjaro(Moshi)baada ya kutembezwa kila mahali na Kuonyeshwa jinsi ya kuweka mazingira na mji safi walipa msaidizi wa Meya wa mji wa Tokyo Kokubunj zawadi ya vinyago kutoka kwa Meya wa manispaa ya Moshi.
Pichani ni wafanyabiashara wa kutoka Mkoa wa kilimanjaro walipotembelea recycle central mkoa wa Tokyo Kokubunji city nchini japan.
No comments:
Post a Comment