Wadau kunradhi,
---------------
Kutokana na matatizo ya kiufundi aliyonayo host wa globu ya jamii, tutaendeleza libeneke kwa muda kama kawa kupitia michuziblog.blogspot.com hadi hapo mambo yatapokuwa mswano.
Wadau nawaomba Msikonde wala nini haya ni mambo ya kawaida ikiwa ni katika kuboresha huduma maana sasa www.michuzi-blog.com ni website kamili na itafanya vitu maradufu ya awali.
asanteni kwa uvumilivu na kumradi kwa usumbufu hilo liko nje ya uwezo wetu
Michuzi

No comments:
Post a Comment