Thursday, July 3, 2008

Rais Kikwete na Dr Migiro
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU),Rais Jakaya Kikwete na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dk. Asha-Rose Migiro,wakiangalia kitabu chenye Taarifa ya Jinsi ya kufikia Malengo ya Mendeleo ya Milenia Afrika, muda mfupi baada ya kuzinduliwa katika Kituo cha Mikutano cha Sharm El Sheikh,Misri jana.Picha na Freddy Maro

No comments: