Tuesday, July 15, 2008

Ni Mwendo wa Live Band kwa Wadau
Wa Reading,Milton
Keynes...
BAADA YA LADY JAYDEE TOUR READING,LONDON,NA BIRMINGHAM BONGODJS ENTS.INAWELETEA LIVE BAND WAKAZI WA READING NA MILTON KEYNES BANK HOLIDAY WEEKEND IJUMAA YA TAREHE 22/08/2008 READING NA JUMAMOSI YA 23/08/2008 MILTON KEYNES BLANCHARD DE PLAIZIR"DISCOUVER THE VERY BEST OF CONGOLESE DANCE MUSIC"KAZI KWENU WAPENZI WA BURUDANI.

No comments: