Barabara ya Mandela Twende
Kaziiiiii...

Eeehhh bwana hawa jamaaa wanaojenga hii barabara ya Mandela wanaoneakana ni wataalamu wa mitaroo hao yaani wao kutwa kucha kuchimba mitaro hebu cheki picha hii walivyokuwa wanachimbua mitaro kabla ya kuanza kujenga barabara ya mandela eneo la Tabata Relini.Picha na Mdau Yahya Charahani
No comments:
Post a Comment