Friday, July 4, 2008

ajali barabara ya kilwa
mdau wa kimasai akipatiwa huduma ya kwanza na wenzie baada ya kupigwa dafulao na daladala kwenye barabara ya kilwa rodi juzi. hadi globu ya jamii inaondoka sehemu za tukio wanausalama walikuwa hawajafika na majeruhi alikuwa bado ana fahamu zake. sema hao jamaa zake walikataa kumsogeza ama kumkimbiza hospitali hadi trafiki waje wapime akili matope sasa au ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Nyie mkimbizie opstali jamani hilo ni swala la maisha ya ndugu yenu !!

No comments: