Afande Celina...

Mdau Mpoki Bukuku ambaye yupo mkoani singida kikazi amepiga picha hiii mwanana kabisa ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo Afande Celina Kaluba.kwa kweli inatia moyo sana kuona akina mama shupavu kama hawa wakishika nyadhifa mbalimbali katika majeshi yetu ya ulinzi na usalama na ipo siku tutakua na IGP wa polisi Mwanamke..
No comments:
Post a Comment