Wednesday, March 11, 2009

sagula sagula ya karne
mkurugenzi mkuu wa shirika la fedha duniani a.k.a imf akichagua viwalo katika soko la mitumba mtaa wa madizini huko manzese, dar, ikiwa ni sehemu mojawapo alizotembelea. yupo katika ukumbi wa mikutano wa twin towers za bot katika mkutano wa imf na afrika

No comments: