Tuesday, March 17, 2009

Mkuchika atembelewa na balozi wa Iran nchini
Waziri wa Habari ,Utamaduni na Michezo Capt.George Mkuchika akifurahia zawadi aliyopewa na Mshauri wa masuala ya Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislam ya watu wa Iran Dr. Mostafa Ranjbar Shirazi mara baada ya kumtembela ofisini kwakwe jana jijini Dar es salaam. Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.

No comments: