Wednesday, March 11, 2009

MKUTANO WA IMF NA AFRIKA WAANZA DAR
JK akiongea wakati wa mkutano na waandishi baada ya kufungua mkutano huo. kulia ni bosi wa IMF Dominique Staruss-Kahn na shoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mstaafu Koffi Annan
sehemu ya wajumbe wa mkutano huo katika ukumbi wa twin towers
JK akiwa na naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr Asha-Rose Migiro, Waziri wa Fedha Mh. Mustafa Mkullo katika meza kuu ya mkutano huo wa siku mbili alioufungua jana katika ukumbi wa BOT Dar
Mkurugenzi mkuu wa IMF Dominique Strauss-Kahn akiwa na Katibu Mkuu wa Zamani wa Umoja wa Mataifa Mh. Koffi Annan kwenye mkutano huo

JK akifungua mkutano huo jana.


No comments: