Wednesday, March 11, 2009

madereva wa dar
dereva wa daladala akichomeka barabara ya mandela rodi. wengi ya madereva wa mabasi haya ni utingo waliopandishwa daraja kuwa madereva bila kuwa na leseni halali

No comments: