Sunday, March 15, 2009

buriani Mh. Faustine Rwilomba
Askari wa jeshi la ananchi wakibeba jeneza lenye mwili wa Mh. Faustine Rwilomba ambaye alikuwa mbunge wa Busanda ukitolewa kanisa la St Peter jijini Dar tyari kusafirishwa kwenda kwao Geita ambako anatarajiwa kuzikwa leo. Marehemu Rwilomba alifariki majuzi huko India alikokwenda kwa matibabu

No comments: