Halo kaka kadidi naomba plz ukipata muda utuwekee hii picha ni pale Daraja la Nduruma Arusha ambalo baada ya kuwa chanzo cha ajali kibao sasa yamewekwa matuta ya kufa mtu na gari zimeshika adabu kidogo... -- Meshack c.Maganga Tumaini university www.pichanamaishatz.ning.com meshackmaganga@gmail.com
No comments:
Post a Comment