Sunday, March 15, 2009

PPF Plaza lazinduliwa mwanza
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akizindua Jengo la Uwekezaji Vitega Uchumi la PPF Plaza jijini Mwanza jana
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa PPF Mh. Ramadhani Hijja akimkabidhi Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein Picha yenye Ramani ya Jengo jipya Uwekezaji Vitega Uchumi mara baada ya kuzinduwa rasmi Jengo hilo pamoja na kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Hotel ia PPF jijini Mwanza.

No comments: