BREKING NYUUUUZZZZZZZZZZZ:MAXIMO AKUBALI MKATABA MWINGINE WA MWAKA MMOJA
HABARI ZINASEMA MARCIO MAXIMO AMEKUBALI KUMWAGA WINO NA KUBAKI BONGO KWA MWAKA MMOJA ZAIDI BAADA YA KUONGEA NA 'WAHUSIKA' WAKUU WA UJIO WAKE HAPA BONGO USIKU WA KUAMKIA LEO.
RAIS WA TFF LEODEGAR CHILLA TENGA AKIONGEA NA WAANDISHI JANA, AMETHIBITISHA KWAMBA MAXIMO KESHAKUBALI KUONGEZA MKATABA WA MWAKA MMOJA, NA KILICHOBAKIA SASA NI YEYE KUANGUKA WINO TU.
GLOBU YA INAWEZEKANA IMEONGEA NA MAXIMO KWA SIMU SASA HIVI KUTAKA KUJUA UKWELI, LAKINI KAITOLEA NJE NA HAKUKUBALI WALA KUKATAA JAMBO HILO, AKISISITIZA KWAMBA MAMBO BADO YAKIWA BIEN TUTAJULISHWA.
No comments:
Post a Comment