Friday, March 13, 2009

Mr PAul bado ang'ara ughaibuni
Mr. Paul

Paul Mbena, mMwanamuziki mahiri wa mtindo wa Zouk a.k.a Mr Paul aliyeko nchini Austrlia atakuwa mingoni mwa wanamuziki wahamiaji wanaoishi nchini humo ambao kwa pamoja watatengeneza Albamu ambayo itapatikana sokoni mwaka huu.

Mr Paul amesema Albamu hiyo inatengenezwa na kampuni inayoitwa Multicultural art ambayo inajishughulisha na sanaa na muziki kimataifa.

Kwa habari zaidi tembelea

No comments: