Tuesday, March 17, 2009

Pole Mheshimiwa
Kandoro..
Waziri Mkuu,Mh.Mizengo Pinda(Kulia)akimjulia Hali Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Abbas Kandoro ambaye amerejea nchini hivi karibuni akitokea nchini India kwa matibabu ni kipindi kidogo kimepita Mh.Kandoro hajaonekana kwenye matukio mbalimbali ya Kitaifa,kumbe alikuwa Nchini India kwa matibabu.

No comments: