Tuesday, March 17, 2009

JK katika mkutano London
JK akikaribishwa na waziri mkuu wa uingereza Bw. Gordon Brown Lancaster House jana.
JK akiongea wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo baada ya mkutano wa Pre G20 London Summit katika jumba la Lancaster House jijini London jANA. wengine toka shoto ni rais wa African Development Bank Dr.Donald Kaberuka, Waziri Mkuu wa kenya, Mh. Raila Odinga, Rais wa Liberia Mh. Sirleaf Johnson, waziri Mkuu wa Ethiopia Mh. Meles Zenawi na Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini, Mh. Trvor Manuel. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

No comments: