Wednesday, March 11, 2009

holiday inn kurudi dar mwezi ujao
zamani ilikuwa ikijulikana kama mawenzi hotel na kuanzia mwezi ujao itakuwa holiday inn baada ya ukarabati wa kufa mtu, ikiwa ni pamoja na uwanja wa kutua hedikopta kwa juu. jengo hili ni lile lile karibu na ymca katika makutano ya barabara ya upanga na azikiwe ama usoni pa kanisa la anglikana na conti cars. globu ya inawezekana kama kawaida yake ilikuwa ya kwanza kualikwa kwa tua ya haraka ili kujionea mambo yalivyo kwa ndani... kazi kwenu
sehemu ya kilaji
lonji
chumba cha kina nanihii (executive)
baa

chumba cha akina sie (standard)




No comments: